Namshukuru mwenyezi mungu kunifikisha siku hii ya leo Jumamosi August
23 nikiwa naadhimisha siku ya kuzaliwa kwangu. Namshukuru Mungu kwa kunipa
nguvu na ujasili wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale hakika yeye ndiye
muweza wa kila jambo mpaka mie kufika hapa nilipo.
Natoa shukrani kubwa kwa
wadau,ndugu na marafiki pamoja na wanalibeneke wanao endelea kuniunga mkono.
No comments:
Post a Comment