Msanii wa Bongo Movie, Nisha akiongea na vyombo vya habari
Watoto kila walipomuona
Nisha walikuwana furaha na kila mahara
anapokwenda basi kama kuna watoto inakuwa shuguli hapo yaani hapatoshi hii
imetokea pale siku ya kuwakumbuka mastar waliotangulia mbele ya haki watoto
walishindwa kujizuia na kuanza kupiga makelele huku wakiimba nyimbo za kwenye
filamu zake.
Nisha akifurahi na watoto waliokuwa kwenye viwanja vya Karimujee wakai wa kuwakumbuka mastaaa waliotangulia mbele ya haki.
Akiwa kwenye picha ya pamoja na watoto hao
No comments:
Post a Comment