HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA CHADEMA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.




TAARIFA KWA VYOMBO

KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA CHAMA

Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari kuwa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam katika kikao maalum cha siku mbili, tarehe 14-15 Oktoba, 2014.
Pamoja na masuala mengine, Kamati Kuu ya Chama itajadili mambo mbalimbali katika agenda zifuatazo;
·        Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba
·        Maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji
·        Operesheni za Ujenzi na Uimarishaji wa Chama
·        Taarifa ya Fedha
Kikao hicho kitatanguliwa na hotuba ya ufunguzi ambapo vyombo vya habari vinaalikwa.

Imetolewa leo Jumatatu, Oktoba 13, 2014 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari- CHADEMA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: