Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Freeman Mbowe akiwahutubia mamia ya wananchi wa mji wa Sikonge
mkoani Tabora,katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Mission juzi.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kigwa wilayani
Uyui mkoani Tabora, katika mkutano wa Oparesheni Delete CCM juzi.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Freeman Mbowe akiwapungia mkono wananchi wa Sikonge mkoani Tabora,
mara baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Mission juzi.

No comments:
Post a Comment