HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » BREAKING NEWS: KLABU YA OLYMPIA ILIYOPO ENEO LA SINZA MORI JIJINI DAR YATEKETEA KWA KOTO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Sehemu ya ndani ya Klabu Olympia iliyopo eneo la Sinza Mori jijini Dar ikiwa imeteketea kwa moto leo alfajiri chanzo chake kikidaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme. 
Sehemu ya mlango wa kuingilia Klabu Olympia iliyopo eneo la Sinza Mori jijini Dar ukiwa umeteketea kwa moto.


ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Bw. Samwel Mwaisumbe ambaye ni mmiliki wa Klabu Olympia iliyopo eneo la Sinza Mori jijini Dar akizungumza na vyombo vya habari baada ya moto kuteketeza Klabu hiyo.
Kamanda wa kikosi cha Zimamoto, J. K Mwasabeja akitoa ufafanuzi kuhusu moto uliotokea na jitihada walizozifanya wakati wa kuzima moto huo ilioteketeza Klabu Olympia iliyopo eneo la Sinza Mori jijini Dar. 
Baadhi ya wanachi wakishuhudia tukio hilo
Askari wa Zimamoto wakiwa kazini

PICHA NA DAR ES SALAAM YETU

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: