HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MHE. CHIKU GALLAWA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WATEULE WA WILAYA ZA MKOA WA DODOMA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (kulia) akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Bendantunguka Tiisekwa Februari 25, 2015, anaeshuhudia katikati ni Katibu Tawala wa Dodoma Ndg. Rehema Madenge.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (kulia) akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe Shabaan Kondo Kissu Februari 25, 2015, anaeshuhudia katikati ni Katibu Tawala wa Dodoma Ndg. Rehema Madenge.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: