Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Kwa taarifa zilizotufikia muda huu zinaeleza kwamba Kituo cha TANESCO cha Kurasini jijini Dar es salaam kinateketea kwa moto,na haijafahamika chanzo ninini bado,tunaendelea kuifuatiliaTupatapo taarifa kwa kina tutakujuza.Endelea kufuatilia taarifa zaidi.
No comments:
Post a Comment