Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Vurugu kubwa zimetokea eneo la Olasiti mkoani Arusha baada ya wananchi wenye hasira wachoma nyumba na magari. Yadaiwa chanzo ni mwenye nyumba kuwafumania binti wa kazi na kijana wa kimasai.
Mtu mmoja anayejulikana kwa jina la "Breki" au "Baba Tony" inasemekana amemwua kijana wa kimasai baada ya kumfumania na housegirl wake, amempiga kama mnyama. Kutokana na kutokeaa kwa tukio hili Vijana wa kimasai wamekusanyika na wamechoma magari yake mawili na nyumba. Polisi wamelazimika kuwatawanya kwa kutumia mabomu ya machozi wananchi hao.
No comments:
Post a Comment