HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » RAIS KAGAME AZINDUA TRENI YA MIZOGO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Rais Paul Kagame akisalimiana na viongozi wakuu wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) wakati alipofika katika Stesheni ya Dar es Salaam kuindua Treni ya Mizigo ya kwenda Rwanda. (Picha na Francis Dande)
 Akisalimiana na viongozi mbalimbali.
Akisalimiana na baadhi ya maofisa Polisi. 
 Rais Jakaya Kikwete akiwa na mgeni wake Rais Paul Kagame wakati wa uzinduzi wa Treni ya Mizigo ya kwenda Rwanda. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick. (Picha na Francis Dande)
Rais Kagame akielekea katika uzinduzi wa Treni ya Mizigo ya Rwanda jijini Dar es Salaam. 
Rais Kagame akiwa amenyanyua bendera kuashiria uzinduzi wa Treni ya Mizigo ya Rwanda jijini Dar es Salaam.
Jakaya Kikwete akiteta jambo na Rais Paul Kagame wa Rwanda.
Rais Paul Kagame akiwa na Rais Jakaya Kikwete wakiwasili katika Stesheni ya Dar es Salaam leo.
Rais Kagame akiwa akizindua rasmi Treni ya mizigo ya kutoka Dar hadi Kigari Rwanda.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: