HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » NASSARI AENDELEA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na mmoja wa watoto waliofika kumpokea wakati akifanya mkutano wa hadhara katika kata ya Maruanga kuhamasisha zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura.
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na wananchi katika kata ya Maruanga.

Baadhi ya wananchi katika kata ya Maruanga wakimshangilia Nassari ,(hayuko pichani)
Nassari akiwaapisha wananchi katika kata ya Maruanga huku akiwataka kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.

Mbunge Joshua Nassari akiwaoesha wanachi magari mawili ya kubebea wagonjwa aliyotoa kusaidia wakazi wa jimbo la Arumeru Mashariki. Na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: