Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Mhe. Nassor Mazrui akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar kuhusiana na kutoka katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kwa kudai furugu iliotokea katika kituo cha uandikishaji cha skuli ya mto pepo kwa kudai kuzuiwa wanachama wao kuandikisha.
Makamu Mwenyekiti wa CUF, Mhe Juma Duni akijibu maswali ya Waandishi wa habari kuhusiana na kuchukua uamuzi wa kususia Kikao cha Baraza la Wawakilishi wakati wa michangoo ya Wizara ya Fedha kwa kudai kufaganyika kwa vurugu katika zioezi la uandikishaji wa wapiga kura katika kituo cha skuli ya Mto pepo.
Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo wakati wa Viongozi wa CUF wakitoa maelezo ya kususia kikao cha baraza wakati wa kupitisha bajeti ya wizara ya fedha Zanzibar.
Waheshimia wajumbe wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Ofisi ya CUF Vuga. Kwa hisani ya ZanziNews
No comments:
Post a Comment