HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » LOWASSA ALITIKISA JIJI LA TANGA KWA MARA NYINGINE TENA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia wananchi wakati akiwasili kwenye viwanja wa Indian Ocean, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni,  Oktoba 21, 2015.Picha na Othman Michuzi
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwahutubia wananchi wa jiji la Tanga waliofurika katika viwanja wa Indian Ocean, katika Mkutano wa Kampeni,  Oktoba 21, 2015.
Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akiwahutubia wananchi wa jiji la Tanga waliofurika katika viwanja wa Indian Ocean, katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, Oktoba 21, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF, Mussa Bakar Mbarouk, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye viwanja vya Indian Ocean, Jijini Tanga, Oktoba 21, 2015.  

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwanandi kwa wananchi, Wagombea wa nafasi ya Udiwani, Jijini Tanga leo.















«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: