HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MADEREVA WA MABASI WASITISHA HUDUMA ZOTE ILI KUPIGA KURA LEO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Chama cha wamiliki wa mabasi Tanzania (TABOA) kimeamua kusitisha huduma zote siku ya October 25 ili kuwaruhusu madereva wake kupata nafasi ya kupiga kura kwenye siku kubwa ya Jumapili October 25.

Muweka hazina wa TABOA Issa Nkya ndio ameongea na ITV na kusema wanatambua Wafanyakazi wao nao wanatakiwa kuungana na Watanzania wengine kupiga kura hivyo hii siku wameruhusu wakaitumie vizuri.

CHANZO: ITV TANZANIA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: