HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MKUTANO WA LOWASSA WAAHIRISHWA TUNDUMA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiwasili katika viwanja vya Shule ya msingi Tunduma leo Jumamosi tarehe 17/10/2015, ikiwa ni mwendelezo wa kampeni zake lakini mkutano huo uliahirishwa baada ya kutokea matatizo ya kiufundi ambapo vipasa sauti vilivyoandaliwa kwa ajili ya kutumika katika mkutano huo kugoma kutoa sauti hata hivyo mafundi walifanya jitihada mbalimbali lakini hazikuzaa matunda na ndipo ililazimu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe akaahirisha mkutano huo, hadi kesho Jumapili tarehe 18/10/2015 majira ya saa 3 asubuhi.





  



«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: