HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MKUU WA MKOA WA DODOMA AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUSISITIZA AMANI NA UTULIVU WAKATI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa akifungua Mkutano wa viongozi wa dini mkoani Dodoma uliojadili masuala ya amani na utulivu wakati wa  uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu.Picha na John Banda
 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma SACP David Misime akifafanua jinsi jeshi la polisi Dodoma lilivyojipanga kusimamia amani na utulivu wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika oktoba 25 mwaka huu kwenye kikao cha viongozi wa dini kilichoitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma.
 
 Viongozi wa dini wakiendelea kufuatilia kwa umakini kinachoendelea kwenye mkutano ulioitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mapema leo kujadili masuala ya amani na utulivu wakati wa  uchaguzi mkuu oktoba 25.
 Kaimu sheikh wa Mkoa wa Dodoma Ahmed Said Ahmed akiomba Dua ya shukrani kwa majadiliano na makubaliano ya kulinda amani na utulivu wakati wa uchaguzi Mkuu Oktoba 25  yaliyofikiwa wakati wa kikao cha viongozi wa dini kilichoitishwa leo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma.
 Baadhi ya viongozi wa dini Mkoa wa Dodoma wakiomba Dua ya shukrani kwa majadiliano na makubaliano ya kulinda amani na utulivu wakati wa uchaguzi Mkuu Oktoba 25  yaliyofikiwa wakati wa kikao cha viongozi wa dini kilichoitishwa leo na  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma.
Mkuu wa Mkoa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa dini waliohudhuria Mkutano uliojadili masuala ya amani na utulivu wakati wa Uchaguzi Mkuu ifikapo Oktoba 25. 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: