HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AZINDUA MGODI WA URANI MKOA WA RUVUMA OKTOBA 21, 2015

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa mgodi mara baada ya kuwasili eneo la mgodi wa urani katika mradi wa mto mkuju wilaya ya namtumbo mkoa wa ruvuma Oktoba 21,2015.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua mgodi wa urani mkoani Ruvuma jana.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelekezo mara baada ya kuzindua mgodi wa urani mkoani Ruvuma jana.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: