HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » TANGAZO LA MSIBA WA MAMA JUDITH TARIMO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Familia ya Marehemu Cyprian Tarimo ya Ukonga, Mombasa Dar es Salaam inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Mama Judith Tarimo kilichotokea Oktoba 25,2015 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Ukonga-Mombasa na Rombo Mahida, Mkoani Kilimanjaro. 

Habari ziwafikie ndugu jamaa na marafiki wote wa ukoo wa Tarimo na Shayo, popote pale wa lipo. 

Mwili wa marehemu unataraji kuagwa Oktoba 27,2015 kabla ya kusafirishwa siku hiyohiyo kwenda Mahida Rombo kwa maziko Alhamisi Oktoba 28,2015.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA YESU LIHIMIDIWE AMEN. 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: