Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu mpya Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa mara baada ya kumuapisha mwishoni mwa wiki katika Ikulu Ndogo ya Chamwino mjini Dodoma.

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu mpya Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa mara baada ya kumuapisha mwishoni mwa wiki katika Ikulu Ndogo ya Chamwino mjini Dodoma. Wengine kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zandibar Dkt Abdulhamid Yahya Mzee, Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano, Balozi Ombeni Sefue, Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe Mohamed Chande Othman, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Pandu Ameir Kificho na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Mkungu



No comments:
Post a Comment