HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » RC KILIMANJARO,AMOSI MAKALA AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI KUZUNGUMZIA TISHIO LA UGONJWA WA KIPINDUPINDU

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amos Makala akizungumza nawanahabari pamoja na Waganga wakuu wa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro juu ya tishio la ugonjwa hatari wa Kipindupindu.
Baadhi ya Waganga wakuu wa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro pamoja na waandishi wa habari wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Amos Makala ,( hayupo pichani)
Baadhi ya waandishi wa habari wakiuliza maswali mbele ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala (hayupo pichani) 
Mganga Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Hajati Dkt Mtumwa Mwako (kushoto ) akiandika mambo kadhaa ambayo yameibuliwa na waandishi wa habari katika mkutano huo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya Kaskazini.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: