HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » SHINDANO KUBWA LA KUSAKA VIPAJI VYA KUCHEZEA MPIRA 'FREESTYLE FOOTBALL CHAMPIONSHIP' KUANZA HIVI KARIBUNI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


IMG_20151022_190217
Tanzania Freestyle football championship (TFFC2016) ambalo ni shindano la kutafuta/kusaka vipaji vya kuchezea mpira yaani freestyle soccer/Freestyle Football wengi hupenda kuita hivyo ambalo linatarajiwa kuendeshwa kama vile mashindano mengine ya kutafuta vipaji kwa njia mbalimbali ikiwemo ile ya TV show.

Waweza wasiliana nao kupitia anuani hapa +255 654 955 825/ +255 655 049 647
IMG_20151010_014924
IMG_20151010_022504

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: