Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mbunifu wa mavazi Jocktan Makeke (kati) akiwakilisha Tanzania tarehe 26 March 2016 kwenye hotel ya Boma Inn Nairobi. Maonesho haya makubwa ya mitindo yamejumuisha nchi mwanachama wa Afrika Mashariki yaani Tanzania, Kenya, Rwanda, Burundi, Uganda na Sudan ya Kusini.
Makeke kaenda kuiwakilisha collection yake inaitwa THE AFRICAN BEAUTY IN THE DARKNESS - TABID, au uzuri wa Afrika gizani kwa Kiswahili, giza inawakilisha utamaduni wa Magharibi ambao kwa sasa umekua kwa kasi mno katika bara la Afrika na kutufanya waafrika kusahau utamaduni wetu.
Lakini licha ya kuzungukwa na hili giza zito la umagharibi lakin bado Afrika inameremeta kwani kuna tamaduni zetu nzuri ambazo zinafaa kuigwa duniani kote. Makeke ametumia malighafi za asili kutengeneza mavazi yake na nakshi asili za kiafrika.
Collection ingine ya mbunifu wa mavazi Jocktan Makeke kutoka Tanzania
Ubunifu wa makeke
Hakika ubunifu huu unahitaji pongezi
No comments:
Post a Comment