HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » RAIS MAGUFULI AWAAPISHA WAKUU WA MIKOA LEO IKILU JIJINI DAR

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndg. Said Meck Sadiki kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es salaam Marchi 15,2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha  Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Zelote Steven Zelote kuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Ikulu jijini Dar es salaam Marchi 15, 2016.
Wakuu Wateule wa Mikoa wakisubiri kuapishwa na Rais
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mh Angellah Kairuki











Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndg. Amina Juma Masenza kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ikulu jijini Dar es salaam Marchi 15,2016
Wakuu wa Mikoa wapya kabla ya kuapishwa wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri Ikulu,mapema leo jijini Dar
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwemo viongozi wa Ulinzi na Usalama
Wakuu wa Mikoa wakitia Saini hati kiapo cha Maadili ya viongozi wa  Umma leo mara baada kuapishwa Ikulu jijini Dar







CHANZO: MICHUZI BLOG

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: