Droo ya michuano ya Kombe la Europa hatua ya robo fainali imepangwa leo March 18, Liverpool imepangwa dhidi ya Borussia Dortmund.
Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp anarejea nyumbani Ujerumani, anakutatana na timu yake ya zamani ya Dortmund.

Habari ,Maisha ,Jamii ,Burudani ,Michezo
Tag:
Copyright (c) 2024 Gadiola Emanuel All Right Reserved
0784 643 633
No comments:
Post a Comment