HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » AFISA MTENDAJI MKUU DAWASCO AIBUKA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA KITAIFA.

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar es salaam (Dawasco) Mhandisi Cyprian Luhemeja akipokea zawadi ya shilingi milioni 3.5 kutoka kwa Rais wa  Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dkt. John Magufuli baada ya kutangazwa kuwa mfanyakazi bora wa mwaka kitaifa kwenye siku ya Wafanyakazi Dunia, Mei mosi iliyoadhimishwa  kitaifa mkoani Dodoma.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: