Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa
kilichofanyika Mkoani Dodoma. Kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli na kushoto ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli pamoja na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed
Shein wakifurahia jambo kabla ya kuanza kwa kikao cha cha Kamati Kuu ya
Halmashauri kuu ya Taifa kilichofanyika Mkoani Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipowasili mkoani
Dodoma kwa ajili ya kikao hicho cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli wakielekea kwenye kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa
kilichofanyika Mkoani Dodoma. PICHA NA
IKULU.
No comments:
Post a Comment