Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Imam
Qasim Ibn Khan kutoka nchini Marekani akiongea na jumuiya ya vijana wa
kiislam vyuo vikuu mikoa ya Pwani, Morogoro na Dar es Salaam katika
kongamano maalum la kukaribisha mwezi Mtukufu wa Ramadhan lililofanyika
jana jijini Dar es Salaam.
Imam
Qasim Ibn Khan kutoka nchini Marekani akisisitiza jambo kwa vijana
waliopo katika umoja wa wanafunzi wa kiislam wa vyuo vikuu (hawapo
pichani) wakati wa kongamano la vijana la kukaribisha Mwezi Mtukufu wa
Ramadhani
Vijana
wa TAMSYA mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es Salaam wakisikiliza kwa
makini mafundisho kutoka kwa mtoa mada mkuu wa kongamano la vijana Imam Qasim Ibn Khan(hayupo pichani) wakati wa kongamano hilo lililofanyika jana
Vijana
wa TAMSYA mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es Salaam wakisikiliza kwa
makini mafundisho kutoka kwa mtoa mada mkuu wa kongamano la vijana Imam Qasim Ibn Khan(hayupo pichani) wakati wa kongamano hilo lililofanyika jana
Imam
Qasim Ibn Khan kutoka nchini Marekani akitoa mada kwa vijana waliopo
katika umoja wa wanafunzi wa kiislam wa vyuo vikuu (hawapo pichani)
wakati wa kongamano la vijana la kukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Vijana wa TAMSYA mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es Salaam wakimsikiliza kwa makini Imam Qasim Ibn Khan alipokuwa akitoa mafundisho mbalimbali kuhusiana na dini ya kiislam katika kongamano la vijana lililofanyika jana









No comments:
Post a Comment