HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » PICHA: MAALIM SEIF ALIPOKUA KATIKA KUTANO WA (CSIS) JIJINI WASHINGTON DC

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.



Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad  akiongea jambo kujadili matokeo  ya uchaguzi mkuu wa tarehe 25 Oktoba, 2015  kwenye mkutano ulioandaliwa na Centre for Strategic and International Studies (CSIS) siku ya Jumatatu June 13, 2016 ndani ya jengo  la (CSIS) liliopo Rhode Island Ave, NW jijini Washington DC. (Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)
Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akielezea hali halisi ya siasa za Zanzibar, katikati akiwa na Mkurugenzi wa CSIS Bi Jennifer G. Cooke, pamoja na aliekua balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Green, ambae sasa hivi ni  President, International Republican Institute
Aliekua balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Green, ambae sasa hivi ni  President, International Republican Institute, akionge siasa za Zanzibar.
Mkurugenzi wa  Centre for Strategic and International Studies (CSIS) Bi Jennifer G. Cooke,akiongea maelezo kuhusu mkutano mzima uliofanyika siku ya Jumatatu June 13, 2016 ndani ya jengo  la (CSIS) liliopo Rhode Island Ave, NW jijini Washington DC.  
Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad, pamoja na aliekua balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Green.
Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akijibu maswali 

Bi Mercedeh Momeni ambae ni Deputy Regional Director, Southern and East Africa, National Democratic Institute, akiongea jambo kuhusu mpango mzima wa mkutano huo
Baada ya kumaliza mkutano wa  (CSIS) jijini Washington DC

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: