Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mtoto Sharon Mwakifulefule (kushoto) akisalimiana mmoja wa watoto
wanaolelewa katika kituo cha Yatima Trust Fund kilichopo Mbagala Chamanzi jijini
Dar es Salaam, wakati alipokwenda kituoni hapo
kwa ajili ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa pamoja na watoto wenzake
ambapo alitoa msaada wa vyakula na madaftari.
Mtoto anayelelewa katika kituo cha Yatima Trust Fund cha
Mbagala Chamanzi , Abdul ,akiwa na wenzake wakati Mtoto Sharon Mwakifulefule alipokwenda
kituoni hapo kwa ajili ya kuadhimisha siku yake ya
kuzaliwa pamoja na watoto wenzake ambapo alitoa msaada wa vyakula na madaftari.
Watoto wa kituo cha Yatima Trust Fund cha Mbagala Chamanzi wakionyeshwa na mlezi wa
kituo hicho Yessaya Mwakifulefule jinsi ya kutumia simu wakati alipofika hapo
paoja na mwanae Sharon ( 7) (hayupo pichani) kituoni hapo kwa ajili ya kuadhimisha siku yake ya
kuzaliwa pamoja na watoto wenzake ambapo alitoa msaada wa vyakula na madaftari.
Sharon Mwakifulefule (7) akiwaelekeza watoto wanaolelewa katika
kituo cha Yatima Trust Fund kilichopo Mbagala Chamzanzi jijini Dar es Salaam,
jinsi ya kutumia simu wakati alipofika kituoni
hapo kwa ajili ya kuadhimisha siku yake
ya kuzaliwa pamoja na watoto wenzake ambapo alitoa msaada wa vyakula na
madaftari.
Sharon Mwakifulefule (7)wapili kulia akiwa na wazazi wake pamoja na watoto wa kituo cha kulelea yatima
cha Yatima Trust Fund Mbagala Chamanzi
jijini Dar es Salaam,wakati alipokuwa akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa ambayo aliifanya katika kituo hicho.
Sharon
akiwagawia juice watoto wanaolelelewa katika kituo cha Yatima Trust Fund
cha Mbagala Chamanzi ikiwa ni sehemu ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa( 7) ambapo
alitoa msaada wa vyakula na madaftari.
Sharon ( kulia) akimlisha keki Yesaya Linus ambayeni
mmoja wa watoto wanaolelewa katika kituo cha Yatima Trust Fund kilichopo
Mbagala Chamanzi jijini Dar es Salaam, wakishirikiana kukata keki wakati wa
kusherekea siku yake ya kuzaliwa(7) iliyofanyika kituoni hapo.
Mtoto Yesaya Linus akimlisha keki Sharon Mwakifulefule
Fatma Ali ambaye
ni mmoja wa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Yatima Trus Fund kilichopo
Mbagala Chamanzi akilishwa keki na Sharon Mwakifulefule wakati wa sherehe yake
kuzaliwa (7) iliyofanyika kituoni hapo , ambapo alitoa msaada wa vyakula na
madaftari kwa watoto wenzake.
Sharon Yesaya akimkabidhi msaada wa madaftari Fatma Ali ambaye ni mmoja wa watoto wanaolelewa katika
Kituo cha Yatima Trus Fund kilichopo Mbagala Chamanzi jijini Dar es Salaam, wakati
wa hafla yake ya kuzaliwa (7) iliyofanyika
kituoni hapo , ambapo alitoa msaada wa vyakula na madaftari kwa watoto wenzake.
Watoto wanaolelewa katika kituo cha Yatima Trust Fund
kilichopo Mbagala Chamanzi jijini Dar es Salaam, Mwajuma Idd na Halma juma ,wakikabidhiwa msaada
wa unga na Sharon Yesaya, wakati wa hafla ya siku yake ya kuzaliwa (7) ambapo
alikwenda kuiadhimisha paoja na watoto wenzake
wa kituo hicho.
No comments:
Post a Comment