Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana Septemba 4, 2016 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ajili ya vikao vya Bunge vinavyotarajiwa kuanza Septemba 6, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma
Jordan Lugimbana baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma
Septemba 4, 2016 kwa ajili ya vikao vya Bunge vinavyotarajiwa kuanza
Septemba 6, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)





No comments:
Post a Comment