Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Timu ya Maji Maji imeendelea kufanya vibaya katika michezo yake ya nyumbani na ugenini, Ebu tizama mchezo huu kati yake na Stand United ambao wanalizombe walifungwa 2 - 0 katika mchezo uliochezwa uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma pamoja na makocha wa timu zote mbili wanavyouzungumzia mchezo huu huku ocha wa Maji Maji KALI ONGARA akijipanga namna ya kuisaidia maji maji .



No comments:
Post a Comment