Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dkt Binilith Mahenge akipokea msaada wa Vifaa kutoka kwa Afisa
Mahusiano wa kampuni ya Mantra Tanzania Khadija Pallangyo.
Kampuni hiyo inajihusisha na utafiti wa uchimbaji wa Madini aina ya Uranium katika eneo la
Mto mkuju wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma , imekabidhi
msaada wa vifaa mbalimbali vya ofisi kwenye Ofisi ya Dawati la kipolisi la
Kushughulikia masuala ya ukatili wa Kijinsia na watoto mjini Songea mkoani
RUVUMA vikiwa na thamani ya shilingi milioni 12.



No comments:
Post a Comment