Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Profesa Makame Mbarawa (kulia) akiongea na baadhi ya wajumbe wa menejimenti ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) alipotembelea wakala huo mapema jana. KushOto ni Mtendaji Mkuu wa TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu.
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Profesa Makame Mbarawa (kulia) akisikiliza maelezo ya dereva wa serikali aliepeleka gari lake katika karakana ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) MT. Depot iliyoko Dar es Salaam kuhusu ubora wa huduma pamoja zinazotolewa alipotembelea na kukagua karakana hiyo jana.
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Profesa Makame Mbarawa (kushoto) akiongea na Mafundi wa karakana ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) MT. Depot iliyoko Dar es Salaam alipotembelea na kukagua karakana hiyo jana.
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Profesa Makame Mbarawa(kushoto) akiangalia vifaa vilivyopo katika stoo ya vifaa vya matengenezo ya magari katika karakana ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) MT. Depot iliyoko Dar es Salaam kulia ni Mtendaji Mkuu wa TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu .
Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Profesa Makame Mbarawa (aliye simama) akiongea na baadhi ya watumishi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) katika ukumbi wa karakana ya MT. Depot alipotembelea wakala huyo mapema jana.
Picha na Theresia Mwami – TEMESA
No comments:
Post a Comment