Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi wa Kenya katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Chirau Ali Makwere alipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi wa Kenya katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Chirau Ali Makwere alipofika Ikulu Mjini Unguja leo. (Picha na Ikulu.)





No comments:
Post a Comment