Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimjulia hali mke wake, Mama Janeth Magufuli, ambaye
amelazwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimjulia hali mke wake, Mama Janeth Magufuli, ambaye
amelazwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016.
: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimjulia hali Waziri wa Zamani Balozi Omar Ramadhani Mapuri ambaye
amelazwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwashukuru na kuwapongeza kwa kazi nzuri baadhi ya madaktari na
wauguzi kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea wagonjwa pamoja na mkewe
ambaye anapatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipungia wananchi alipokuwa akitoka Sewa Haji katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea
wagonjwa pamoja na mkewe ambaye anapatiwa matibabu.leo Novemba 10, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwafariji baadhi ya wagonjwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali
ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea kuona wagonjwa pamoja na mkewe ambaye anapatiwa matibabu hapo leo Novemba 10, 2016. Picha na IKULU

No comments:
Post a Comment