HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » JE WATAKA KUJUA: KUWA JULIUS CAESAR NI KIONGOZI ALIYEBADILI TAIFA LA JAMHURI YA ROMA KUWA IMAYA YA ROMA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Julius Caesar ni kiongozi aliyeibadili Taifa la Jamhuri ya Roma kuwa Himaya ya Roma (Roman Republic to Roman Empire). Alizaliwa mwezi July mwaka 100 Kabla ya Kristo, akafariki kwa kuuawa mwaka 44 mwezi march kabla ya Kristo. Alijipatia umaarufu mkubwa baada ya kujitangaza dikteta wa milele na kuiwezesha Roma kuziteka nchi nyingi za Ulaya, mashariki ya kati na afrika kaskazini.

Julius Caesar aliuawa tarehe 15 March mwaka 44 BC baada ya wajumbe wa baraza la senate kukubaliana kumuua baada ya kubaini kwamba nguvu za Caesar zimezidi kipimo. Sharti walilopeana ni kwamba la kila seneta anapaswa kumchoma kisu ili kila mmoja abebe lawama za kifo cha Julius Caesar. Kwa heshima ya Caesar, warumi walikubali kutumia jina lake kama Cheo cha kiongozi wa Himaya hiyo. Hapo ndipo jina la Kaizari lilipozaliwa.

Imeandaliwa na Moses Mutente

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: