HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » JE WATAKA KUJUA: LIFAHAMU JESHI KUBWA LA TERACOTTA LILILOZIKWA NA MFALME WA KWANZA WA CHINA.

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mwaka 210- 209 kabla ya Kristo, mfalme wa kwanza wa China Qin Shi Huang aliamua kuchonga masanamu ya wanajeshi wapatao 8,000 ambao wangezikwa naye kwenye kaburi moja ili waweze kumlinda kwenye maisha ya baada ya kifo. 
Masanamu hayo ya wanajeshi yametengenezwa kwa ukubwa mbalimbali yakionyesha ukubwa wa vyeo vya wanajeshi hao, majemedari walikuwa na maumbo makubwa kuliko wanajeshi wengine. Magari ya kijeshi ya farasi, wanamuziki, wanyamana na wafanyakazi imara ni miongoni mwa waliozikwa naye pia.Masanamu hayo yalitengenezwa kwa kutumia udongo uliochomwa na yapo mpaka sasa. Kaburi hilo liligundulika mwaka 1974 na wakulima wa wilaya ya Lintong, Xi'an, jimbo la Shaanxi.

Imeandaliwa na Moses Mutente.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: