HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » SUMU YA PENZI SEHEMU YA KUMI NA SITA( 16)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Nilifika nyumbani vizuri na kuandaa kila kitu kama mwanamke na mume wangu alivyorudi nilijitahidi kumkwepa hasa kukutanisha macho. Niliweza kufanya hivyo na baadaye wakati wa kulala nikawahi kama nini.
Nikawa sasa nawaza matukio ya siku hiyo, nikashangaa jinsi nilivyojisikia, nikafurahi kufikia kilele kwa mara ya kwanza, tena hiki siyo kilele tu bali ni kilele cha mlima mrefu duniani wa Everest.
Hapo nikajua kumbe kuna wanawake wengine hufikia kilele cha kichuguu na kudhania wamefikia kilele cha mlima. Nikafurahi kuona nikijisikia vyema na hata hamu ya kufanya mapenzi sikuwa nayo tena kama siku za nyuma. Hapa nikathibitisha zile dalili za mwanamke kuridhika alizozisema Dr. Ben maana nilikuwa nimezipitia zote.
Nilipowaza haya nikakumbuka pia dalili za mwanaume kuridhika anakuwaje. Nikajikuta nashtuka na kumuwazia Mr X ambaye nilikuwa na uhakika hakukojoa pale wakati anafanya mapenzi na mimi kwa sababu hata dakika moja haikutimia tangu aingize dyudyumizi wake kwangu.
Kwa kuwa maumivu ya kutiwa hamu na kuachwa nilikuwa nayajua vilivyo, nikajikuta namuonea huruma Mr X, nikachukua simu yangu na kutuma meseji kwa Mr X, nikamuuliza; “haloo mbona uliniacha kimyakimya vile?”
Meseji ikaingia; “Ulionaje umependa huduma yangu?”
Nikamjibu; “Mh.. wewe sijawahi kuona.
“Asante Madam,”
“Lakini najua wewe haujaenjoy hata kidogo kwa sababu nilikuacha bado kabisa.”
“usijali, mimi mtaalamu na kazi yangu kukufundisha wewe.” aliposema hivi akanifanya nimuulize; “kwa hiyo pale hata haukuwa na hisia na mimi?” 
Akanijibu; “ndiyo,”
“mh kwa maana hiyo haukusikia kabisa utamu wangu?”
“ndiyo madam,” aliponijibu hivyo nikajisikia vibaya nikahisi kumbe kwa Dr Ben au Mr X kama anavyojiita,  pamoja na sura yangu nzuri na shepu yangu ya kibantu sikumvutia chochote!
Nikajikaza na kumwambia kwa hasira; “ina maana mimi mbaya au?”
“hapana Madam sijamaanisha hivyo, ni kwamba bado wewe ni mwanafunzi kuna mengi ya kujifunza ukiyaweza unaweza ukawa mtamu zaidi ukanikojoza hata mimi, lakini lazima ujifunze sana, kwa vitendo na nadharia,” aliposema hivyo moyo ukashuka nikaona kumbe mwenzangu anahitaji fundi kama yeye ili amkoleze. Nikapata sababu nyingine zaidi ya kuapa kujifunza kwa bidii yote hayo  nikimpania yeye.
Nikajisemea kimoyomoyo; “kama alivyonikojoza yeye leo, ipo siku na mimi nitamfanyia hivyo hivyo.”
Nikamtumia meseji tena; “kesho tunaweza kuonana tena palepale muda uleule?” 
Akajibu; “ndiyo,”
Baada ya hapo nikakumbuka kuwa japo hakunitajia bei ya darasa lake lakini nilipaswa kulipia, nikamtumia shilingi elfu hamsini kwa njia ya tigopesa jina likaonesha kuwa ni “Nick Jermaine.”
Baadaye akanitumia meseji, “Asante Madam,”
Nikamjibu; “usiku mwema.”
Akanijibu; “na wewe pia tutaonana kesho,”
Ama kweli wanasemaga dhambi ni mara moja lakini ukiirudia inakuwa siyo dhambi tena, maana taratibu hukuingia kwenye damu na kuwa tabia yako. Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwangu kwa kuwa nilijikuta nikichukulia suala la kutoka nje ya ndoa ni kitu cha kawaida, japo kuwa nilijisikia vibaya sana kumsaliti mume wangu kipenzi lakini ilibidi.
Hata hivyo nikiwa pale kitandani nilianza kuifikiria hiyo siku ya kesho, niliiona ikiwa nzuri kwangu kwa sababu cha kwanza nilitaka na mimi kumuonesha Mr X utundu wangu wa kitandani, kwa sababu nilijua kwa kesho sitakuwa na ile miukwasi ya siku za nyuma. Maana kwa mishinduo aliyonipa mapema siku hiyo nilijua hata ile hali ya kuweweseka nitakapomuona itakuwa haipo tena. Nikawaza kuwa kwa sasa nitaweza kuweka umakini katika kumfanya na yeye anayejichukulia fundi  akojoe kwa raha nitakazompa hadi asiamini kama mwanafunzi wake kakubuhu.
Kwa hiyo unaweza kuona kwamba kwenda kwangu kesho kukutana na Mr X pale gesti hakukuwa na jambo jingine bali kumuonesha na mimi naziweza za uswazi na siyo lazima nijifunze kwenye darasa lao la mapenzi.


ITAENDELEA JUMATANO

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: