HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » SUMU YA PENZI SEHEMU YA KUMI NA TATU (13)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Wakati akiwa anafundishha nilimtazama kwa jicho la kumtamani na kumuonesha kila dalili za kumtaka kimapenzi, lakini bado Dr.Ben alionekana hajali kila nilichokuwa nikimfanyia. Nikajaribu bahati yangu ya mwisho, nikamuomba namba yake ya simu akanipatia.
Siku hiyo sikuwa nimeridhika kabisa na darasa hilo kwa sababu japo kuwa tulikuwa tumejifunza mambo mengi lakini nilitamani kungekuwa na somo la vitendo ili na mimi nikutane na Mr. X wangu anifundishe kufikia kileleni na mimi kujionea dalili hizo kwa vitendo zaidi.
Nilijua pengine Dr.Ben alikuwa akiona aibu kujionesha sura yake moja kwa moja ndiyo maana alijitahidi kujificha kwa kuvaa ile maski, labda ndiyo maana amekuwa akinikwepa kila nilivyomtega hivyo nikamjaribu kupitia simu.
Usiku nikiwa nyumbani, nilimtumia meseji Dr.Ben nikamwambia; “Hi! Dr.Ben nina swali naomba nikuulize,”
“Uliza tu Mary,” alisema Dr Ben.
“Naona aibu lakini naomba usinicheke,” niliandika
“Usijali we niulize tu sitacheka nakuapia.”
“eti mimi nilikuwa nauliza mbona dalili ulizosema mimi sina?”
“dalili gani Mary?”
“za kufika kileleni”
“oh basi utakuwa haujapata mtu wakukufikisha Mary , mtafute unakosa mambo mengi.”
“Mh basi ticha nitafutie mimi nitajuaje kama anajua au hajui. hadi nimpate si nitakuwa malaya tena.”
“mh… basi usijali ngoja nimtafute mtu mmoja,” alinitext Dr Ben kisha akaniuliza kama nina tatizo jingine nikajibu hapana.
Nilipomaliza kuchati naye roho yangu ilienda puta nikatamani kumwambia namtaka yule mwanaume aliyevaa maski wa siku ile, lakini nikajiona mkosaji kufanya jambo hilo lakini kama mwanamke, niliona sina budi lazima nipate mtu wa kuniridhisha maana nimechoka kuguswaguswa na mume wangu.
Nikajikuta nasubiri siku nzima na hatimaye wiki ikakaribia kukatika lakini Dr. Ben hakunipigia tena kama amepata mtu ikabidi nimtumie tena meseji.
“mambo Dr Ben?”
Badala ya kunijibu kwa sms nikaona ananipigia nikapokea kwa aibu na kusikilizia;
“vipi Mary mzima wewe,” alisema Dr.Ben sauti yake ikazidi kunichanganya.
“Poa tu mh..” nilijiikuta nikishindwa kumuulizia kuhusu mtu aliyeahidi kunitafutia nikaanza kujichekesha mwenyewe nikiamini shida yangu anaijua.
“Ah. Mary nimekumbuka tena, yule mtu nimeshampata vipi unataka kukutana naye wapi? Darasani keshokutwa au?” aliniuliza Dr.Ben lakini kwa kuogopa shoga yangu na shemeji wasijejua kama namsaliti mume wangu tena mbele yao, nikakataa kuonana naye kule darasani.
Nikamuomba anipe namba yake nimpange kwa kukutana naye, tena kwa mahanjamu yalivyonipanda nikatamani kukutana naye kesho.
Kweli baada ya kukata simu akanitumia namba, nikaipokea na nikavaa ujasiri na kutuma meseji ; “Hi!”
Naye badala ya kujibu nikaona ananipigia simu, nikasubiri sekunde kadhaa na kupokea, nikasikia sauti ya kiume ikinipokea kwa uchangamfu ikisema; “hallow Mary, na mimi nimepewa namba yako sasa hivi na Dr.Ben, nipo kwa ajili yako niambie tu saa na dakika nitafika unapopataka.”
Kwa hofu nikajikuta nikibabaika na kutamani kukata simu, kisha yule mtu akarudia tena; “haloow nimeambiwa wewe ni mwanafunzi kwa hiyo najua utakuwa na aibu sana, lakini usijali ukitulia na utakapoona upo tayari nipigie.”


ITAENDELEA JUMAPILI

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: