HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » » KIGWANGALLA AAGIZA KUKAMATWA KWA KIJANA MAARUFU MITANDAONI KWA USHOGA, JAMES DELICIOUS

Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akijibu hoja za wabunge ameviagiza vyombo vya usalama kumtafuta mtu anayejulikana kwenye mitandao ya kijamii kama "James Delicious" kwa kujitangaza kama shoga kinyume cha sheria na kumfikisha mbele ya sheria kujibu tuhuma za kuendesha biashara ya kuuza ngono ya kinyume cha maumbile.

Chanzo: Jamii Forums

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: