Waziri
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akiwa katika picha ya
pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia
Wakimbizi (UNHCR), Chansa Kapaya (kushoto) ,baada ya kumaliza mazungumzo
yaliyofanyika ofisini kwa waziri huyo,kujadili masuala ya wakimbizi wanaohifadhiwa katika kambi
mbalimbali nchini Tanzania.Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi kutoka
wizarani hapo, Harrison Mseke.Mazungumzo hayo yamefanyika leo jijini Dar es
Salaam.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi(UNHCR), Chansa Kapaya(kushoto), alipofika ofisini kwake kujadili masuala ya wakimbizi wanaohifadhiwa katika kambi mbalimbali nchini Tanzania.Mazungumzo hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akiagana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi(UNHCR), Chansa Kapaya (kushoto), baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwa waziri huyo,kujadili masuala ya wakimbizi wanaohifadhiwa katika kambi mbalimbali nchini Tanzania.Mazungumzo hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment