HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » STAILI MPYA YA WIZI WA PIKIPIKI YAIBUKA MKOANI KILIMANJARO

STAILI mpya ya uporaji pikipiki imeanza kuutikisa mkoa wa Kilimanjaro, ambapo watu wasiojulikana hutumia usafiri wa magari kusimamisha madereva wa vyombo hivyo barabarani na kisha kupora na kutokomea.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: