HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » Updates:Mwanamke Ajirusha kwenye Maji wakati Boti ikiwa safarini

 Taarifa zilizo tufikia hivi punde kuwa kuna mwanamke moja ambaye jina lake halikufahamika haraka alikuwa ndani ya Boti ya Azam Marine Kilimanjaro 5 iliyokuwa inatokea Dar kwenda Zanzibar  . Boti hiyo ilipofika maeneo ya Chumbe mwanamke huyo alijirusha baharini huku Boti hiyo ikiwa kwenye mwendo. Baada ya uongozi wa boti hiyo kupewa taarikfa kuwa kuna mmtu kajitosa majini ilipelekea kusimama kwa muda kwenye eneo hilo la tukio na kuanza kumuokoa.
Hata hivyo haijafahamika nikitu gani kilicho sababisha Mwanamke huyo kujirusha kwenye maji.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: