HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » » » » MHE SPIKA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA PALESTINA OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M. Shabat, ofisini kwake jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Bunge).
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akimsikiliza  Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M. Shabat,  wakati alipozungumza naye ofisini kwake jijini Dar es Salaam. 
 Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M. Shabat akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai wakati akimkabidhi barua Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
 Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M. Shabat akimkabidhi Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai kitabu mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake jijini Dar es Salaam. 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: