HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » Baada ya kimya cha muda mrefu, DJCHOKA kurudi kitofauti

Baada ya kimya cha muda mrefu, DJCHOKA (@Chokadj) anarudi na wimbo mpya #BilaSABABU ambao umewashirikisha wasanii wawili kutoka BONGO HIP HOP (@izzo_biznesss & @kingzilla_tz) chini ya HITMAKER Prod @dupy_beatz kutoka @uprisemusic_empire. Ni tarehe 19 September 2017

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: