Wakazi wa jimbo la Florida wakiondoka kutumia magari yao kujisalimisha na kimbuka Irma kilichaanzia kaskazini ya pwani ya Cuba na kusababisha watu kadhaa kupoteza maisha huku wengine wakiwa hawana mahali pa kukaa baadaya mvua kubwa iliyoambatana na upepo mklai kuezua na kuharibu makaazi ya watu.
mti wa mnazi ukiwa umeanguka barabarani baada ya kushindwa kuhimili upepo mkali ulioambatana na mvua kubwa kutokana na kimbunga Irma.
Wakaazi wa Florida wakijiandaa na kimbunga Irma kabda hakijileta madhara zaidi.
Juu na chini ni makaadhi ya watu Cuba walivyoathirika kutokanana kimbunga Irma
No comments:
Post a Comment