Rais wa La Liga, Javier Tebas
Baada ya barua kutoka Shirikisho la soka nchini Hispania kulitaka
shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) kuzichunguza klabu za PSG na Manchester
City kuhusu ukiukwaji wa sheria za matumizi ya fedha, Financia Fair Play (FFP),
Hatimae UEFA wamekataa maombi hayo.
Lakini baadaye shirikisho la
soka la UEFA limetoa majibu kuhusiana na barua iliyoandikwa na Rais wa La Liga
kwa kusema kwamba shirikisho hilo halitaichunguza klabu hizo kwa sasa na
taarifa nyingine kinyume na hapo ni uongo mpaka mwishoni mwa msimu.
No comments:
Post a Comment