Tunapozungumzia
mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo
vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri
mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara
anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo
anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke)
kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi.
DALILI ZAKE
Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-
Madhara yake kwa mwanamke
Madhara kwa Mwanaume
Tiba ya Chango la Uzazi
DALILI ZAKE
- Kwa mwanaume atakuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufika kileleni na kurudia mara nyingine ni vigumu sana.Na hupata maumivu makali chini ya kitovu baada ya tendo la ndoa
- Pia mwanaume hatakuwa na uwezo wa kusimamisha.
- Ni vigumu kumpa mimba mwanamke.
Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-
- Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi
- Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa
- Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika
- Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi
- Kupatwa hasirakali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.
- Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.
- Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.
- Kuchukia kushiriki tendo la ndoa
- Kupata uvimbe kwenye kizazi
- Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi
Madhara yake kwa mwanamke
- Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimba
- Mwanaamke anaweza kuwa tasa kabisa
- Kuingia na kutoka kwa mimba
- Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni
- Kuwa na uke mdogo sana
Madhara kwa Mwanaume
- Kuwa na mbegu ambazo haziwezi kutunga mimba
- Kiwango kinachozalishw cha megu ni kidogo mno
- Kuwa na kiwewe cha kushiriki tendo la ndoa
- Kusimama na kusinyaa kwa uume
Tiba ya Chango la Uzazi
- Ni vizuri sana kumweleza Dr. Dalili zote mtu anapojisikia.
Chazo: Docta Joh Blog




No comments:
Post a Comment