HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » ILI UWE MWALIMU MKUU LAZIMA SHULE YAKO IFAHURISHWE KUANZIA ASILIMIA 60 HADI 90

Katibu tawala mkoa wa Ruvuma HASSAN BENDEYEKO amesema ili mwalimu katika shule husika ateuliwe mkuwa mwalimu mkuu ni lazima awe amefahurisha wanafunzi kwa asilimia 60 hadi 90 hii itasaidi kwa mkoa wa Ruvuma katika kukabiliana na uporomokaji wa elimu kwa kipindi cha mwaka 2017 baada ya mkoa huo kufanya vibaya katika matokeo ya kidato cha nne. HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: