HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» » WAKULIMA WALIOTAPELIWA MILIONI 56 WAMEANZA KULIPWA PESA ZAO

Zaidi ya wakulima mia moja wa korosho katika Kijiji cha Namiungo Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma waliokuwa wametapeliwa Tani 15 za korosho zenye thamani ya Shilingi Milioni 56 na Kampuni ya ZUMA CARGO wameanza kulipwa fedha zao.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: