Wakazi wa halmashauri ya mji wa Nanyamba mkoani Mtwara wamelalamikia tatizo la kukosekana kwa mitaro ya barabara za ndani za halmashauri hiyo hali inayopelekea maji kutuama kwa nyakati za masika . Ambapo barabara hizo ujengwa na kampuni ya SUMA.
-
No comments:
Post a Comment